Kwa ajili yako Chinchilla Coat

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza chinchilla coat Ndiyo miss humu jf anayekosha Sana Moyo wangu hasa pale ninapoona post zake.

Kutokana na upendo wangu kuzidi kwake nimejikuta naandika lyrics juu yake na ninaomba hzo lyrics ziishi moyoni mwake miaka Nia moja.

Lyrics :
Mwandishi :NALIA NGWENA
Dedication to:CHINCHILLA COAT

naomba unielewe usiwe mwewe, kisha uende kwa wale... //
We ni TANU me ni Nyerere, Naomba unitawale.. //
Mvuvi usiye na makelele, umeshanivua kambale... //

Mrembo usiwe na maringo, mapozi mwachie wema... //
Umenivuta ka urimbo, Ndo maana nalia Sana... //
Nipe Moyo wako, wa kwangu Chukua bila hiyana... //

Napagawa nachachawa, unapomsifu Mshana... //
Natamani niote Mbawa,ili niruke nije kukuona... //

Nitafurahi UkiniPM, we Mtoto wa kishua.. //
Mashairi maalum, kuonyesha nakuzimia... //
Nakosa ufaham, hivi we ni mtanzania ....??//

Please usiwe shangingi kama @missnatafuta.... //
NGWENA namake Shilingi najua nitakupata... //
Baki kwenye misingi uwe mtamu Kama fanya... //

Habari kwako @misschaga ....//
Nilipenda niwe wako lakini ukanimwaga... //
Npo kwa @chinchilacoat, kidoti nitakula baga... //

......Itaendelea........
 
Huyu mwanamke atakuu a achana nae maana anbet kama hana akili nzuri kama uko tayari kuwa mshika mikeka yake poa
Mda huu yuko na akina nyegere,keikui,wakusoma,moyes wanaandaa mikeka ataweza kumhonga stake ya $ 5,000 ?
 
Huyu mdada ni kichwa sidhani kuwa mtaendana...
 
Mleta mada huyo kumpata ni rahisi andaa mikeka yako ya odd 8 mitatu na stake za kueleweka yote itusue atakufata mwenyewe pm.
 
Huyu anaandaa Mikeka yake ya Jumamosi bhanah! chinchilla coat njoo msikilize mshikaji anasema nini. Mpe kazi ya kukutengenezsa mkeka na ili akupate lazima huo mkeka ushinde na upate fedha ambazo hujawahi kuzipata.
 
Dah... Ndiyo maana miss chagga alikumwaga... Unatuma mashairi badala ya kutuma PESA [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…