[emoji15] [emoji87]
Moyo wangu Jaman
Huyu Mtoto ananichanganyaDada Mpe Mwenzako Moyo Wake
Siyo Mchezo mkuubidada mkali
DAh nmuhitaji SanaHuyu anaandaa Mikeka yake ya Jumamosi bhanah! chinchilla coat njoo msikilize mshikaji anasema nini. Mpe kazi ya kukutengenezsa mkeka na ili akupate lazima huo mkeka ushinde na upate fedha ambazo hujawahi kuzipata.
Nimempenda yeyeUmependa avatar au umempenda yeye?
Hahahahahahaah miss chaga syo WA Mchezo MchezoDah... Ndiyo maana miss chagga alikumwaga... Unatuma mashairi badala ya kutuma PESA [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwa nini mkuuNatamani kuingilia hii vita ila sasa! Chinchilla Coat anajua vizuri...!
Najidhatiti mkuu nipate upendo wakejiandae jombaa kama huna kitu uyo mdada atakubwaga....Sifa matunzo
Hahaha Mtoto anabeti mpaka basSifa mikeka yenye odds nyingi na stake zake.
Mkuu vip[emoji15] [emoji87]