Kwa akili za Maulid Kitenge bado anajua kuna nchi inaitwa USSR na pia kuna Yugoslavia

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Screenshot_20250129_081642.jpg

Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.
 
Hajui basi Ukrine ilipaswa hio orodha yake iwe ndani ya hio anayo iita USSR
Yeye amecopy ila fahamu kwamba kuna uwezekano kwamba kuna watu ambao waliingia USA kama wametoka USSR miaka ya zamani ambao inawezekana bado wapo kwenye mchakato wa kutaka uraia wa marekani na Marekani imeamua kuwakataa.Swali la kujiuliza ni Je wataenda nchi gan ilhali USSR haipo?Ila kutokea kwa USSR kwenye Orodha kunaweza kuwa na sababu kama hiyo...
 
Hak

una kitu kama hicho, mbona kuna orodha zingine hazijataja hio kitu? kwa hio walitoka USSR na sasa wanarudishwa wapi sasa?
 
View attachment 3217280

Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.
Nongo bana, mtu alikuwa ana impotiwa na demo wake in the US, wakavumisha eti ni sababu ni Kitengo wa mambo ya Kimataifa...yaani wabongo ni mae sana.
 
Back
Top Bottom