BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kitenge I guess ni div 0.........................View attachment 3217280
Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.
???????Ukrine
Hawa wauza unga watapata wapi muda wa kufanya research?Moja kati ya uandishi mzuri wa habari ni kufanya research ya kutosha na kujiridhisha kabla ya kupost. Lakini sasa
Ila nimeshtuka nilivoona hilo jina la BN π π πHawa wauza unga watapata wapi muda wa kufanya research?
Yeye amecopy ila fahamu kwamba kuna uwezekano kwamba kuna watu ambao waliingia USA kama wametoka USSR miaka ya zamani ambao inawezekana bado wapo kwenye mchakato wa kutaka uraia wa marekani na Marekani imeamua kuwakataa.Swali la kujiuliza ni Je wataenda nchi gan ilhali USSR haipo?Ila kutokea kwa USSR kwenye Orodha kunaweza kuwa na sababu kama hiyo...Hajui basi Ukrine ilipaswa hio orodha yake iwe ndani ya hio anayo iita USSR
OkIla nimeshtuka nilivoona hilo jina la BN π π π
una kitu kama hicho, mbona kuna orodha zingine hazijataja hio kitu? kwa hio walitoka USSR na sasa wanarudishwa wapi sasa?Yeye amecopy ila fahamu kwamba kuna uwezekano kwamba kuna watu ambao waliingia USA kama wametoka USSR miaka ya zamani ambao inawezekana bado wapo kwenye mchakato wa kutaka uraia wa marekani na Marekani imeamua kuwakataa.Swali la kujiuliza ni Je wataenda nchi gan ilhali USSR haipo?Ila kutokea kwa USSR kwenye Orodha kunaweza kuwa na sababu kama hiyo...
Nongo bana, mtu alikuwa ana impotiwa na demo wake in the US, wakavumisha eti ni sababu ni Kitengo wa mambo ya Kimataifa...yaani wabongo ni mae sana.View attachment 3217280
Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.