Kwa akili zangu timamu na busara zangu nakuja kwenu naomba mapokezi yenu

Kwa akili zangu timamu na busara zangu nakuja kwenu naomba mapokezi yenu

good hope

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
17
Reaction score
10
Nafurahi kama tutakuwa pamoja kuelimishana na kufundishana.

Tujengeke katika misingi imara ya kimaendeleo.
 
Ukizipokea na kuzikubali changamoto za JF utakuwa na wakati mzuri ndani ya jukwaa
 
Naamini tunayaweza yote katika hekima na busara iliyo ndani yetu
 
Back
Top Bottom