Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
Nimekuwa na mahusiano na wadada kadhaa.Lakini wengi wao nilikuja kugundua sio wakweli linapokuja suala la kujua umri wao. Mnaweza kusema age it has nothing to do na mahusiano yetu lakini kwangu it matters.
Hili jambo nimeligundua hata kwa wasichana na wanawake ninaofanya kazi nao katika ofisi niliyopo. Wengi wao hupenda kutaja umri mkubwa ili waonekane ni wa siku nyingi na baadhi yao hufikia extent ya kudai kuwa kwa kuwa wameshazaa watoto basi wao ni wakubwa. Hii imekaaje wajameni??