Kwa akina dada tu!!!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
413
Nimekuwa na mahusiano na wadada kadhaa.Lakini wengi wao nilikuja kugundua sio wakweli linapokuja suala la kujua umri wao. Mnaweza kusema age it has nothing to do na mahusiano yetu lakini kwangu it matters.

Hili jambo nimeligundua hata kwa wasichana na wanawake ninaofanya kazi nao katika ofisi niliyopo. Wengi wao hupenda kutaja umri mkubwa ili waonekane ni wa siku nyingi na baadhi yao hufikia extent ya kudai kuwa kwa kuwa wameshazaa watoto basi wao ni wakubwa. Hii imekaaje wajameni??
 
Inaonekana wewe hujui kuangalia sura na kujua huyu anaweza kuwa na umri gani. Je unataka wasichana wa aina gani? na kwa nini wakudanganye? Hujatulia ebu tuliza mzuka wako, uwe unaangalia ongea ya mtu na reasoning capacity yake utajua huyu kakomaa au la, kuwtest kitandani unapoteza muda wako.
 
MWANZO NILIDHANI UNAZUNGUMZIA KURUDISHA MIAKA NYUMA.Kama wanaongeza miaka ili waonekane wakubwa kwako, huo ni ujumbe tosha kuwa wanataka heshima kutoka kwako na si vinginevyo.Pia hawataki mahusiano na wewe ndio mana yake!
 
Na mie nilidhani wanarudisha miaka nyuma.Inaonekana hujatulia na washakugundua kuwa wewe mapepe.
 
eeeh mie nikajua wadada wanajifanya wadogo
eeh kumbe wanaongeza miaka ,ni kweli kama hao waliotangulia kusema labda hujatulia na una vijimambo vya kitoto toto ndo maana unadanganywa
ila umenichekesha
 
MWANZO NILIDHANI UNAZUNGUMZIA KURUDISHA MIAKA NYUMA.Kama wanaongeza miaka ili waonekane wakubwa kwako, huo ni ujumbe tosha kuwa wanataka heshima kutoka kwako na si vinginevyo.Pia hawataki mahusiano na wewe ndio mana yake


bravo!! mukulu!
 
Hehhe heheh sina la kuongeza wadau wamemaliza!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…