Kwa akina dada wote wa MMU!

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
Habari zenu, na heri ya mwaka mpya 2011!!!!
Tambueni kuwa tunawapenda sana!!Nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu
ndani ya 2011.

Kwa akina dada walio ndani ya ndoa, Mungu awabariki na kuwazidishia moyo wa UPENDO na UVUMILIVU

Kwa wale single - lady, Mungu awape FARAJA na moyo wa MATUMAINI ili mwaka huu nanyi mpate wenza wenu wa maisha

Na kwa wale wanaotembea na waume za watu, basi taratibu jamani, sio mpaka UNAJIMILIKISHA kabisa, UTAUA BENDI!Ni dhambi kwa Mungu mwenyezi!
TUNAWAPENDA SANA!!!!!

Nawasilisha!!!!!!
 
Red: Hapo ndipo mziki ulipo!!!
 
Nashukuru mkuu umewakilisha poa Tunapenda Bendi mpya lakini tusiue zile za zamani ndugu.
 
Nashukuru mkuu umewakilisha poa Tunapenda Bendi mpya lakini tusiue zile za zamani ndugu.

ingawa waungwana wanasema kipya kinyemi, lakini tunatakiwa tuwe waangalifu na bendi za zamani mkuu
 
Aksante bacha........ubarikiwe nawe pia na kwa wale waliobahatika kuwa na small house basi msinigewe sana na kutusahau sie mpango mizima ati...mtatesa watoto ambao ni damu zenu.
 
hahaha Bacha Bana kwa hiyo hapa ni Ishu ya kina dada wanaotembea na waume za watu not otherwise!
 
faraja na matumaini ........
Amen to that....

asante sana Bacha God Bless you...
 
hahaha Bacha Bana kwa hiyo hapa ni Ishu ya kina dada wanaotembea na waume za watu not otherwise!

kaka vipi, najaribu kutoa angalizo tu!
TUNAWAPENDA SANA
 
THX SANA NADHANI NITAFUATA USHAURI WAKO HUU,Kwa wale single - lady, Mungu awape FARAJA na moyo wa MATUMAINI ili mwaka huu nanyi mpate wenza wenu wa maisha.
 
Aksante bacha........ubarikiwe nawe pia na kwa wale waliobahatika kuwa na small house basi msinigewe sana na kutusahau sie mpango mizima ati...mtatesa watoto ambao ni damu zenu.

Mpango mzima na uheshimiwe!
TUNAWAPENDA SANA!!
 
thx sana nadhani nitafuata ushauri wako huu,kwa wale single - lady, mungu awape faraja na moyo wa matumaini ili mwaka huu nanyi mpate wenza wenu wa maisha.

karibu!!!
Tunawapenda sana!
 
Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?

BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...
 
Signature yako imetoa mwelekeo mzuri wa 2011
Tunawapenda sana!!!!

mmmhhhh asante sana Bacha
i hope will come true tho...
The Following User Says Thank You to bacha For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
Kimey/bacha:

Baba_Enock hajambo naye pia anawatakia Heri ya Mwaka Mpya...

Itifaki imezingatiwa - "Mother House" lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…