najua unavyo vyote....misdi yu zo....
na wewe una vipi? misdi yu mo...
Unaishi wapi? Teh teh teh.......
Unaishi wapi? Teh teh teh
e e eeeeee!!!!........
ndo nini hiyo?
si unajua mtu chake hayupo......
sasa watu wakianza kukuambiambia vitu mi sipendi ujue......
usinizibie riziki bana, sitaki kufanywa kidumu..
wallah wewe sio kidumu.......
nitakufanya ndoo......ila mtu chake yeye ni tangi.....