kuna binti amemaliza form 4 kasoma arts
hesabu ana C
kiswahili C
english D
masomo manne yaliyobaki E
Priority yake ni Ualimu, lakini chochote anaweza soma Ngazi ya cheti.
CHUO GANI WATAMPOKEA?
kuna binti amemaliza form 4 kasoma arts
hesabu ana C
kiswahili C
english D
masomo manne yaliyobaki E
Priority yake ni Ualimu, lakini chochote anaweza soma Ngazi ya cheti.
CHUO GANI WATAMPOKEA?
Kusoma Certificate kwa scores hizo sio ngumu sana kupata chuo,.Kama ni ualimu aombe tu vyuo anavyotaka kwenda kusoma.Katibu muhtasi nayo ni nzuri pia,ajaribu.