Co naenda kuanzia ngazi gani diplom au degreeYaap....kwa cheti cha o'level unapata bila tabu
Kama utafeli completely form six (division zero sijui kama bado inaitwa ivo) utaanza certificate kama ipo...ufaulu wa kati (division four) ni diploma....ukipata three kama competition ni ndogo degree unaenda ila ukitaka uhakika piga one form six.Co naenda kuanzia ngazi gani diplom au degree
Asante sana mkuuKama utafeli completely form six (division zero sijui kama bado inaitwa ivo) utaanza certificate kama ipo...ufaulu wa kati (division four) ni diploma....ukipata three kama competition ni ndogo degree unaenda ila ukitaka uhakika piga one form six.
Samahani na VIP kuhusu ajira na mkwanja wakee wapendwaAsante sana mkuu
Course ya health S MGT nafahamu ipo mzumbe university tofauti na hapo sijui, ajira tafuta waliosoma hapo wakwambie nimojawapo ya kozi mpya hapaa TZ, mshahara utaujua kazi ikipatikana [emoji3]Na n chuo gani kizuri ambacho naeza soma bila shida hiyo faculty ya health service
Kuhusu kuhamia si mpaka uchaguliwe kujiunga na cource yoyote hapo mzumbe au inakuajeMi nachukua bachelor of health system and management hapa mzumbe
Hiyo program iko mzumbe tu
Wanachukua division one tu!!!
Ila unaweza chaguliwa program yoyote na ukahamia bhsm
Asantee mkuu
Co mpendwa kulingana na cheti changu cha olever nikipiga one ya hgl form xix ntachaguliwa bila shidahMi nachukua bachelor of health system and management hapa mzumbe
Hiyo program iko mzumbe tu
Wanachukua division one tu!!!
Ila unaweza chaguliwa program yoyote na ukahamia bhsm
Asantee mkuu
Umesema for xix?Co mpendwa kulingana na cheti changu cha olever nikipiga one ya hgl form xix ntachaguliwa bila shidah
I mean form six mpendwaUmesema for xix?
Ni nini hiki mdogo wangu[emoji23][emoji23]
unaweza chaguliwa udsm na ukahamia mzumbe lakini kama ufaulu wako na unasifa za kuja mzumbe au faculty unayotaka na uliyo chaguliwa vinaendana na unayotaka sio umesoma cbg pcm then unataka kuja mzumbee???Kuhusu kuhamia si mpaka uchaguliwe kujiunga na cource yoyote hapo mzumbe au inakuaje
Kwani waeza chaguliwa udism halafu ukahamia mzumbe?
Au inakuaje?
Mi nataka hiyo health management na nimesoma hgl advance but matokeo ya o level ndo hayo nlopostunaweza chaguliwa udsm na ukahamia mzumbe lakini kama ufaulu wako na unasifa za kuja mzumbe au faculty unayotaka na uliyo chaguliwa vinaendana na unayotaka sio umesoma cbg pcm then unataka kuja mzumbee???
matokeo yanayo takiwa uwe hgl hgk hkl na uwe na c eng kwa o level then adv uwe na 1Mi nataka hiyo health management na nimesoma hgl advance but matokeo ya o level ndo hayo nlopost
Iyo kwa o lever language nna b na advance matarajio ni one au twomatokeo yanayo takiwa uwe hgl hgk hkl na uwe na c eng kwa o level then adv uwe na 1
Iyo kwa o lever language nna b na advance matarajio ni one au twomatokeo yanayo takiwa uwe hgl hgk hkl na uwe na c eng kwa o level then adv uwe na 1
one utachukuliwa kwa two omba hata hrm or blgm bpa then ukifika mzumbe utabadilishaIyo kwa o lever language nna b na advance matarajio ni one au two