Kwa alichofanya Bukoba hakika Mrisho Mpoto anapenda kiki

Mkuu hivi ngoma mpya ya Diamond ina views ngapi mpaka saa hii huku YouTube.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume hasifiwi machozi wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa unateseka sana Dada Yangu afu Mimi nacheka sana maana wewe ni ndugu Yangu sana kwenye ile ID Yangu nyingine.

Yote kwa yote nisamehe haya Maisha tu mpendwa wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo unaeteseka aimbe mwingine utenzi tulie sie uumie wewe hujionei aibu

Mi sijibu mtu kutokana na ID yake najibu post ya mtu kuipinga ama kuiunga mkono, ukilazimisha sana nakupa kali napewa ban maisha yanaenda

Kuhusu kukujua kwa ID nyingine hayo ni mengineyo hayahusiani na huu uhorojo ulioleta hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrisho Mpoto alishauzaga uzalendo wake kwa chama siku nyingi, alianzaga vizuri sana.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Watu wenye mashavu manene ndivyo walivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…