Q QUONSIOUS BOY Member Joined May 18, 2014 Posts 33 Reaction score 1 May 23, 2014 #1 Jaman wana chama wa nyabu mpoo? Tangu shule ifunguliwe mwaka 2014 ndo mwaka uliofanya vizur vyenye aijawah kutokea katika shule yetu yaan division one ya p.10 haijawah kutokea au xio? Ulizen maswal umjibiwe yanayohusu nyabulogoya
Jaman wana chama wa nyabu mpoo? Tangu shule ifunguliwe mwaka 2014 ndo mwaka uliofanya vizur vyenye aijawah kutokea katika shule yetu yaan division one ya p.10 haijawah kutokea au xio? Ulizen maswal umjibiwe yanayohusu nyabulogoya
J JURGE WALYOBA Member Joined May 14, 2014 Posts 51 Reaction score 8 May 23, 2014 #2 The boy hyo imetisha sana kwa mwanza shule sasa inaogopeka ile mbaya kama private vile!
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 May 23, 2014 #3 mmmmh! shule ya kata