yeyote aliechaguliwa open university ktk koz ya bachelor with science with education naomba tutafutane
Jaman msaada juu ya hili.
Kuna jamaa yangu mmoja alikosea kujaza code za chuo akajikuta amechagua Open university ambayo yeye sio chaguo lake. Afu sasa kwa bahati sijui mbaya au nzuri ndipo aliko pangiwa. Yeye ni fesh from school (form 6 2014) amepangwa BA with education. Sasa je inawezekana kuomba kubadilishiwa chuo hiko? Asanteni

Aendelee na shule tu pale pale OUT nitaeleza sababu hapa chini.
Kwanza OUT wamepewa mandate ya kuenroll fresh from school student hivyo asiwe na mashaka atakutana na wenzake kibao.
Pili akiwa OUT hatapoteza muda wake campus kwani atapata muda wa kusoma na kufanya kazi zake t the same time tofauti na wenzake walioko campus.
Tatu OUT ni sehemu nzuri ya kujenga network na watu walikoko kwenye system tayari pale kuna wakuu wa mikoa na wilaya, wakuu wa shule, wakuu wa vikosi vya ulinzi n.k kwa ujumla watu walio na kazi tayari serikalini.
Nne OUT nayo kama vyuo vingine waalimu kwa level ya degree wanapata ajira za moja kwa moja serikalini, hakuna haja ya kuwa na mashaka..mwambie arelax.
Pia ukisoma OUT unakuwa na senses ya kujifeed mwenyewe matilio hakuna cha kusubiri lecture so unakuwa self- problem based learning student. Kitu ambacho student wengi hapa duniani hawana.
Ngoja nitaeleza tena baadae mengine..kuna kazi nafanya hapa!!.
mbona nasikia eti ukimaliza kupiga degree out ni ngum kupata kaz serikalini??
acha kukaririshwa ina maana hao wanaofanya kazi OUT siyo serikalini.