Kwa aliewahi kumpenda sister

Roses are red, violets are blue/ we're all going to heaven, but the Nun and you.
 
Kijana utalaaniwa na huyo mzinzi mwenzio unayemwita sister mkimbie
 
Muogope Mungu ww acha kuongea jambo lililo nje yako na huna uwakika nalo
Nina uhakika asilimia 100 mkuu ma6 wa siku hizi wengi wanakula vidonge vya kuzuia mimba kisha wanasuguliwa gaga ipasavyo ss kama ww unadhani kuna c6 bikira pole yako mm mwenyewe niko kwenye harakati za kumnasa m1
 
Wewe ni jipu
Huwa hatuongei maneno matupu...kila unacho post hapa JF jua kina hifadhiwa..

 
yaani haina tofauti na mke wa mtu ukiona anakuzimia usione kama ni zali la mentali ujue anazimia wengi masister wako after sex zaidi
Mkuu hapo umeongea kweli hamna kiumbe anayeweza kuvumilia kutofanya ngono labda hanithi na maiti 2 bac vizee wenyewe wanatamani hiyo
 
Khaa we vipi, kwani Sista ndio Mungu?
 
Mawazo yako
Mwanaume wa kweli unatakiwa uwe na kifua, sio kila kitu cha kumwaga hadharani. Kupendwa ma mtawa ni jambo linaloweza tokea kwani hata yeye ni binadam ana mwili wa nyama wenye madhaifu kama mtu mwingine yeyote....
 
yaani haina tofauti na mke wa mtu ukiona anakuzimia usione kama ni zali la mentali ujue anazimia wengi masister wako after sex zaidi
Hapana usiweke in geaneral kiasi hicho wala usitumie neno Masista coz aweza kuwa mmoja haimaanishi ni wote
 
Mkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.

Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.

nashukuru
Kwa taarifa yako ma sista wengi kama sio wote sio wazima walishabikiliwa zamani tena hawatembei na mwanaume mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…