Kwa aliewahi kumpenda sister

Mkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.

Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.

nashukuru
Mkuu utapoteza muda wako bure...., mi namjua sister mmoja alishaliwa sana tangu kakiwa primary amefika huko mbeleni akaingia huko...

Unaweza kukuta bwawa huko huko
 
Mkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.

Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.

nashukuru
Sio kila sister ni bikra
 
Kwa nini msioabe tu? Kufunga ndoa na sister sio dhambi maana ni kiapo cha hiyari, lkn kuzini na mtu yeyote-awe sister, padre au mtaani, hiyo ni dhambi tu.

Vv
 
Kwa nini msioabe tu? Kufunga ndoa na sister sio dhambi maana ni kiapo cha hiyari, lkn kuzini na mtu yeyote-awe sister, padre au mtaani, hiyo ni dhambi tu.

Vv
So apeleke mahari kanisani?
 
So apeleke mahari kanisani?
Sioni swali hapo, kwani ndoa lazima kuwe na mahari au suala bi makubaluano tu?
Ndoa sii mahari, ndii maana mchungaji anapofungisha ndoa huwa haulizi wala hataki kujua kuhusu mahari.

Vv
 
Mtu anamuogopa Mungu kisha anaomba ushauri kwa binaadamu kama afanye dhambi au la - maajabu haya
 
Sioni swali hapo, kwani ndoa lazima kuwe na mahari au suala bi makubaluano tu?
Ndoa sii mahari, ndii maana mchungaji anapofungisha ndoa huwa haulizi wala hataki kujua kuhusu mahari.

Vv
Utakuwa hujaoa wewe. Hakuna Ndoa bila Mahari.
 
Imagine sister kaona ulichoandika... Mkuu ushaikosa papuchi iliyoifadhiwa muda mrefu.... Sio kila kitu cha kutangaza jf. Grow up
 
Utakuwa hujaoa wewe. Hakuna Ndoa bila Mahari.
Mkuu, ulisoma swali ambalo nimemjibu? Hata hivyo, popote ndoa inafungishwa huwa hawaulizi kama mahari imelipwa ama la, Kanisani wanataka consent ya wazazi tu. Bomani ndio kabisa, hawataki hata kutaka kujua kama wazazi wametoa kibali, wanafungisha tu ndoa.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…