Kwa aliye tayari tushirikiane

Kwa aliye tayari tushirikiane

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
905
Habari zenu!

Mimi niishawahi kukaa Morogoro - Mang'ula, nilijuana na watu wengi, pia nilijua fursa ktk kilimo cha mpunga mahali pale, ni rahisi sana kwa laki kama mbili, hii ilikua kipindi hicho so kwa sasa kama itazidi labda inaweza kuwa laki 3 tu.

kwa pesa hiyo unaweza kodi shamba na kulima mpunga na ukaja vuna magunio mengi kipindi cha mavuno kama hakutotokea uhalibifu wowote. Nakupata kipato kikubwa sana. sasa shida yangu ni hii naweza fanya peke yangu, ila badae ktk kusafirisha kuleta Dar kwaajiri ya mauzo ikawa ni ngumu nikiwa peke yangu, nahitaji nguvu zaidi - mtu wa kushirikiana nae. kama nitampata mteja atakayekubali kusafirisha mwenyewe haitaleta shida.

Hivyo naomba aliye tayali tuwasiliane (PM) ili tufanye hii kitu tutapata sana lengo ni kuwezeshana badae ktk usafirishaji tu, ili tuje tuuze huku Dar ktk maduka ya jumla. - kuhusu wasimamizi haina shida wapo hukohuko na ni waaminifu nafahamiana nao.

NB: nipo serious na nimeleta huu uzi hapa kwasababu sijapata wa kusaidiana nae huku nilopo, so najaribu hapa. Namba itatolewa mara baada ya kuwasiliana pm na kukubaliana.

Kwa aliye tayali tu ani pm.
 
Ulifanikiwa kwenye hii ishu yako?
 
Back
Top Bottom