Kwa aliyeagiza bidhaa kutoka Marekani hivi karibuni

Kwa aliyeagiza bidhaa kutoka Marekani hivi karibuni

fokofu

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
68
Reaction score
74
Wakuu naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyeagiza mzigo kutoka Marekani hivi karibuni nahitaji kufahamu kama mizigo inafika au bado?
 
Mizigo mingi hasa ya online imekwama njiani

Jr[emoji769]
 
Biashara ya BARAKOA ishaingia kidudu mtu.
Kama umemsikia mh. RAISI Leo uko dodoma
 
Wakuu naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyeagiza mzigo kutoka Marekani hivi karibuni nahitaji kufahamu kama mizigo inafika au bado?
Other wise utumwe kutoka Marekani kuja uingereza alafu unakuja Africa juzi nimepokea mzigo wangu wasafirishaji ni aramex company sijui walitumia nini sitaki kujua zaidi
 
Back
Top Bottom