Kwa aliyeelewa hii kauli ya jkt

not today

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
17
Reaction score
2
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI KAMA ILIVYOPANGWA
AIDHA ANAWATAKA KUPUUZA TAARIFA YOYOTE INAYOHUSIANA NA JKT NA BADALA YAKE WATEMBELEE TOVUTI YETU YA www.jkt.go.tz AU MAKAO MAKUU YA JKT YALIYOPO MLALAKUWA, DAR ES SALAAM KWA TAARIFA ZAIDI
bonyeza hapa Tangazo la jkt1 AU mimi tu nipo outdated tangzo la zamani..navp kuhusu jamaa zetu kurudi around tar 27 sept na registration zilizpo nyuma ya tarehe hiyo...anyway tutasoma kesi ipo mahakaman
 

hata waliofeli nao ni wahitimu wa kidato cha 6 so wataenda kwa awamu tofauti tofauti,nao wanahitaji mafunzo ya kibeto
 
outdated.. Halafu nasikia vyuo vitaongeza muda wakuripot ili kuwapa muda wa maandalizi #Maafande walioko jkt!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…