Kwa aliyefanya application TCU

Kwa aliyefanya application TCU

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Nauliza ukiwa unaadd programm ikimaliza kuweka programm zote kwenye selection mbona hamna sehem ya kusubmitt application,au ukimaliza inakuwa automatically submottred,naomba kujuzwa plseeeed......
 
mkuu voucher namba yako uliinunua kwa kutumia tigo pesa au mpesa,yangu nilitumia tigo pesa hadi sasa hivi inanigomea kuingia ktk mtandao wa CAS
 
Mi nilitumia mpesa,wew unangiza zp zinatakiwa zile za kutoka tcu
 
Ukishalipa unasubiria tranzaction id kutoka tcu,inaweza kichukua ht cku 2....5
 
Nawezaje kurejesha transaction code ya M-MPESA kwa ajili ya tcu, baada ya kupoteza simu kabla sijaitumia?
 
Hii applicants choose as ina maana kwamba watu wameshachagua kozi hii mara ya kwanza 52, mara ya pili 45 hadi ya 16 ila wanahitajika 20 au inakuaje? kama washa jaa tuangalie pengine tano TCU.jpg
 
Kumbe ndio maana yake,sasa Sibora wangeifungia ili watu tusiendelee kuchagua.kama hujachaguliwa kozi yoyote tufanyaje?
 
Back
Top Bottom