Nauliza ukiwa unaadd programm ikimaliza kuweka programm zote kwenye selection mbona hamna sehem ya kusubmitt application,au ukimaliza inakuwa automatically submottred,naomba kujuzwa plseeeed......
Hii applicants choose as ina maana kwamba watu wameshachagua kozi hii mara ya kwanza 52, mara ya pili 45 hadi ya 16 ila wanahitajika 20 au inakuaje? kama washa jaa tuangalie pengine tano