Kwa aliyeko Dodoma

Kwa aliyeko Dodoma

Nilikuwa hapo juzi na kabla yake. Hamna la maana.
Kuku wa kienyeji lazima upigwe. Kuna kipande au vipande vitakosekana.
Yale mengine ni uchafu tu. Hamna TBS.
Dah!!... Kabisa mkuu.

Hapa nimeagiza nyama ya kuku wa kienyeji ila nahisi nimekubaliwa tu maana hata siyo.

Nyama zake hata sijazielewa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dom maeneo mengi sio waaminifu kwa wateja. Ukiagiza mishkaki utaletewa nyama laini sana tena inaonekana imekaa wiki moja hivi. Vichips sasa wanavyovikata vyembambaa vimekaukaaa
 
Back
Top Bottom