T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Dah!!... Kabisa mkuu.Nilikuwa hapo juzi na kabla yake. Hamna la maana.
Kuku wa kienyeji lazima upigwe. Kuna kipande au vipande vitakosekana.
Yale mengine ni uchafu tu. Hamna TBS.
Wapo hivyo tena...Dom maeneo mengi sio waaminifu kwa wateja. Ukiagiza mishkaki utaletewa nyama laini sana tena inaonekana imekaa wiki moja hivi. Vichips sasa wanavyovikata vyembambaa vimekaukaaa
ππππππͺπͺπͺ
Dom maeneo mengi sio waaminifu kwa wateja. Ukiagiza mishkaki utaletewa nyama laini sana tena inaonekana imekaa wiki moja hivi. Vichips sasa wanavyovikata vyembambaa vimekaukaaa
Hahahahaha huduma zao mbovu kweliiJamani kumbe ni kwel..niliagiza chips pale rainbow..jaman zilikuja kavu kama za jana..mbaya sana