Laki 150,000/= mkuu.
Nitafurahi mkuu, ukifanikisha.
Mkuu, hizo biti tu, zilikwepo na zinaendelea kuwepo. Sasa wanafikiri tutaishije? first ni vigumu kumgundua mtu kama amekaa chumba ambacho sio chake, labda mtu awe mshamba tu. Halafu wanaouza vyumba ni hao hao wakuu.Achana kabisa na maswala ya kununua chumba nimesikia ukikamatwa unauza au kununua chumba utaitiwa important document kwa mshauri wa wanafunzi. Nakusahuri utafute pa kupanga msewe, ubungo au changanyikeni. Ila hapo survey kuna hostels karibu na mlalakua