kajekudya JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 2,466 Reaction score 4,916 Jul 12, 2019 #1 Wakuu mimi nipo vijijini huku, mji mkubwa ambao nipo karibu nao ni Mwanza. Sasa nataka nijaribu bahati kwenye biashara ya kuku wa kienyeji, niwe nawaleta mwanza. Tafadhali kama kuna anayeweza kunijuza masoka hapo na bei zipoje.
Wakuu mimi nipo vijijini huku, mji mkubwa ambao nipo karibu nao ni Mwanza. Sasa nataka nijaribu bahati kwenye biashara ya kuku wa kienyeji, niwe nawaleta mwanza. Tafadhali kama kuna anayeweza kunijuza masoka hapo na bei zipoje.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Jul 12, 2019 #2 Sipo huko ila navyojua kuku wa kienyeji wana soko na la uhakika cha msingi jaribu kutafuta oda mahoteli na kwenye migahawa mbalimbali.
Sipo huko ila navyojua kuku wa kienyeji wana soko na la uhakika cha msingi jaribu kutafuta oda mahoteli na kwenye migahawa mbalimbali.
Chiqa Member Joined Jul 19, 2017 Posts 80 Reaction score 172 Jul 12, 2019 #3 Wasiliana na huyu, 0746 358933 ana uzoefu na hiyo biashara! Utanishukuru baadae
kajekudya JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 2,466 Reaction score 4,916 Jul 12, 2019 Thread starter #4 Chiqa said: Wasiliana na huyu, 0746 358933 ana uzoefu na hiyo biashara! Utanishukuru baadae Click to expand... Sawa Mkuu nashukuru Sana!
Chiqa said: Wasiliana na huyu, 0746 358933 ana uzoefu na hiyo biashara! Utanishukuru baadae Click to expand... Sawa Mkuu nashukuru Sana!
Kigorohe Senior Member Joined May 21, 2019 Posts 160 Reaction score 255 Jul 12, 2019 #5 Nitumie namba yako pm make mi mwenyew ni muuza kuku hapa mwanza