Kwa aliyesom au kufanya kazi embaruway sekondari tu

Kwa aliyesom au kufanya kazi embaruway sekondari tu

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Wakuu kheri ya mwaka mpya 2015, baada ya kukaa kimya mda mrefu sasa nimerejea kwa kasi kasi ya ajabu, nitakuwa tofauti sana na mwaka uliopita. nitasoma maada zote za wadau na nitauliza maswali mengi hii yote ni kutaka kujua mengi,
maswali yangu
nimesikia kuna shule moja inaitwa embaruway ipo mkoa wa Arusha imejengwa katikati ya mbuga ya wanyama ya ngorongoro kwa maana walimu na wanafunzi wanaishi na wanyama wakali kama simba, chui, kiboko N.k. lakini pamoja na hayo ni kweli walimu katika shule hiyo wanalipwa pesa mbali na mshahara (risk allowance) kila mwezi? wanakula bure na nyumba za walimu za kutosha? wanapata pesa mamilioni toka mamlaka ya ngorongoro pamoja na serkali? mwalimu yeyote akitaka kusafiri kwenda nyumbani kwao anapelekwa na gari la shule hata kama anaishi bambabay? nawasilisha
 
Back
Top Bottom