Kwa aliyetayari kuolewa mke wa pili

Kwa aliyetayari kuolewa mke wa pili

John-Q

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
643
Reaction score
961
Habari zenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma.

Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake awe na umri kati ya miaka 23 - 28, kazi au biashara siyo kipaumbele, awe muislamu, asiwe ameolewa kabla au kuwa na mtoto nje ya ndoa. Atokee mkoa wowote ila makazi yake aikishaolewa itakuwa Dodoma.

Aliyekua nia tuonane DM.

Shukran.
 
Mtu mmoja apende wanawake wawili kwa wakati Mmoja inaitwaje hii?
 
Back
Top Bottom