Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
check kama Ronimotors wapo tradecarview if yes case closed! tumia escrow account pesa yako itakuwa salama na gari utapata!Wadau heshima kwenu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi kununua gari ronimotors thailand nataka kununua pick up double cabin. Sasa hawa jamaa siwafahamu na bei ya pickup imenona kidgo nisije kuingia chaka.
Asanteni
Saju b: Thailand wapo mbele yetu kimaendeleo japo sio sana. Sijadhani kama ni busara kununua huko. Wengi ni walalahoi kama sisi.Wadau heshima kwenu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi kununua gari ronimotors thailand nataka kununua pick up double cabin. Sasa hawa jamaa siwafahamu na bei ya pickup imenona kidgo nisije kuingia chaka.
Asanteni
check kama Ronimotors wapo tradecarview if yes case closed! tumia escrow account pesa yako itakuwa salama na gari utapata!
Saju b: Thailand wapo mbele yetu kimaendeleo japo sio sana. Sijadhani kama ni busara kununua huko. Wengi ni walalahoi kama sisi.
Kama ni gari mpya sawa, ila kama ni kukuu, nashauri ununue Japan.
Nimekuelewa kiongozi. Nakushauri ununue mpya baada ya kutafiti uaminifu wao.Mkuu magari wanauza mapya na used kama japan tu hakuna gari kukuu kuu. Check hapa www.ronimotorsthailand.com uangalie sampo ya magari yao.
Nimekuelewa kiongozi. Nakushauri ununue mpya baada ya kutafiti uaminifu wao.
Ila kama unanunua used, nunua Japan.
Kama hawana gari @ tradecarview ina maana huwezi nunua kitu hapo. Escrow ni kwamba mnunuaji na muuzaji wanaingia deal kwamba wanafanya biashara ila mnunuaji anampa pesa mtu mwingine anayeaminiwa na muuzaji. Punde tu mnunuaji akikiri kukubali kuwa amepata huduma/bidhaa ndipo huyo mtu mwingine humpa muuzaj pesa ambayo alikuwa ameishikilia. Ila kumbuka huyu mshika pesa hupata commission toka kwa mnunuaji na sometime hata muuzaji!Mkuu naona wamekutajwa trade carview lakin hakuna tangazo hata la gari moja. Escrow acc ndio inakuaje mkuu. Msaada plz
Escrow account si ndio ile watu wanayogawana sandarusi za pesa na million 10 ya mboga tuMkuu naona wamekutajwa trade carview lakin hakuna tangazo hata la gari moja. Escrow acc ndio inakuaje mkuu. Msaada plz
Je THAILAND wana pre export inspection(TBS requirement)? Kama hawana tarajia usumbufu na fine gari yako itakapofika Tanzania, why cant you cjeck with Japanese companies?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nicheke tu niongeze siku za kuishi.. ...Escrow account si ndio ile watu wanayogawana sandarusi za pesa na million 10 ya mboga tu
Mubasharaaa,,, aisee cheka zaidi kiongozi hata me nafurahi kaka kampuni ya majizi hio! Kina singa singa na mwenzie hadi leo wananyea debe mambo ya escrow.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nicheke tu niongeze siku za kuishi.. ...
ila nashauri nunua kampuni za Kijapani kama beforward wanabei poa na hawana magumashi