Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Jul 23, 2015 #1 Emtech ni procts kwa ajili ya kilimo na ufugaji, nimeitumia kwa kuku imeonyesha matunda mema. Kama kuna anayetumia hizo prd, tubadilishane uzoefu. Kwa waliokko mwanza mnaweza kutembea ofisini kwangu tukaongea live.
Emtech ni procts kwa ajili ya kilimo na ufugaji, nimeitumia kwa kuku imeonyesha matunda mema. Kama kuna anayetumia hizo prd, tubadilishane uzoefu. Kwa waliokko mwanza mnaweza kutembea ofisini kwangu tukaongea live.