Kwa aliyewahi kutumia Mizinga ya Nyuki kutoka China

Kwa aliyewahi kutumia Mizinga ya Nyuki kutoka China

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Habari za asubuhi wadau.

Natumaini siku yenu imeanza vizuri kwa wale tulioamka mapema.

Kama kuna mtu ameshawahi kutumia mizinga ya nyuki kutoka China naomba mrejesho juu ya ufanisi wake. Niliwahi kusoma sehemu kuwa mizinga ya huko matundu madogo nyuki haziwezi kuingia.

Asanteni.
 
Ndo nasikia leo kuhusu hiyo mizinga ya china. Ngoja waje wajuzi
 
Ni mizuri sana...
Bahati mbaya iliibiwa baada ya kuvuna ( kurina) mara moja.
Asante
 
Back
Top Bottom