Kwa aliyeyatumia haya mafuta yafuatayo naomba feedback nataka kununua moja wapo

Kwa aliyeyatumia haya mafuta yafuatayo naomba feedback nataka kununua moja wapo

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Naomba mrejesho kwa aliyetumia haya mafuta

Screenshot_20190620-191642.jpg
Screenshot_20190620-191430.jpg
Screenshot_20190620-185340.jpg
Screenshot_20190620-185219.jpg
Screenshot_20190620-185311.jpg
 
Ingrams ni nzuri pia haswa kama unasenstive skin...ni medicated...ila works perfect too...my momma anaitumia
 
Tumia clear essence ni nzuri ukioshea ngozi yako then ukapaka iyo ingram itafanya ngozi yako kuwa na unyevu most of the time ..kikubwa iwe safi before apply it na iyo ingram usi appy kwa wingi just kidogo tuu maana ukipaka inaleta ukavu fulani
Karibu
 
Niliumia clear essence wakati flani,it gave me amazing results.Nilipata skin tone moja haichubui ngozi ina glow na inakua moist. Nilipata cleanser,sabuni na cream.
 
Tafuta American dream yauzwa 45000 au 50. nina mwaka sasa tunashindana na shemeji yenu kwa ngozi saafi na nyonyoro
 
Back
Top Bottom