Kwa ambao walikuwa hawajaona Mashine ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku ilivyo,

Kwa ambao walikuwa hawajaona Mashine ya Kutengeneza Chakula Cha Kuku ilivyo,

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Mashine ya Kusaga na Kuchanganya Chakula Cha Kuku,

mashine_002.jpg

mashine_003.jpg
 
Mkuu Chasha tutajie bei tafadhali na zinapatikana wapi.Natanguliza shukrani
 
Asante kwa taarifa hii ni ya kusaga? kukoboa? na kuchanganya? maana chakula kina aina nyingi
dagaa iwe unga, mahindi kuparaza, kukoboa, soya kusaga nk kisha kuna kuchanganya hii ni ya nini Chasha?
 
Hiyo Mashine inafanya kazi zote inasehemu ya kusaga na sehemu ya Kuchanganya so hapo unaweka vipimo vyako unavyo taka, then inachanganya, Mwenye hizi mashine yuko Arusha Tanzania mwenye kutaka maelezo zaidi ya bei anaweza wasiliana naye 0755807746
 
Chasha; Nampigia muda huu! Ila najaribu ila naona simu yake iko busy!

Narudia tena!

Hiyo Mashine inafanya kazi zote inasehemu ya kusaga na sehemu ya Kuchanganya so hapo unaweka vipimo vyako unavyo taka, then inachanganya, Mwenye hizi mashine yuko Arusha Tanzania mwenye kutaka maelezo zaidi ya bei anaweza wasiliana naye 0755807746
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Don Mango unanunua broiler au kienyeji na kwa uzito huo unaoffer nei gan?
 
Hii ni ya muhimu kama unafuga kuku wengi, na unanunua mali ghafi kwa kihasi kikubwa.itapunguza sana gharama za uzalishaji
 
Back
Top Bottom