Kwa Ambao wameshawahi kuandaa CV

Kwa Ambao wameshawahi kuandaa CV

njoro

Senior Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
178
Reaction score
8
je ni lazima kuonyesha GPA uliyopata kwenye CV yako?
 
Unless wamekuomba kuambatanisha transcripts sio lazima kuweka, unaweza degree na shule uliyoipata pamoja na kipindi ulichosoma.
 
Back
Top Bottom