Kwa Ambao wameshawahi kuandaa CV

njoro

Senior Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
178
Reaction score
8
je ni lazima kuonyesha GPA uliyopata kwenye CV yako?
 
Unless wamekuomba kuambatanisha transcripts sio lazima kuweka, unaweza degree na shule uliyoipata pamoja na kipindi ulichosoma.
 
Gpa yako itaonekana kwenye vyeti husika siyo kwny CV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…