Wapendwa,
Gari yangu ina tatizo Hili, ikiwa kwenye mwendo halafu ataka kuongeza/kupunguza mwendo gari haiendi inajiresi kwanza kidogo ndio iachie. Inakuwa kama nimeshika breki huku nimekanyaga pedo ya mafuta, Ni suzuki escudo.
Mafundi wangu wanabahatisha tu, natumia hela kununua vitu sivyo, lakini tatizo haliishi