Nenda chuo husika unachotaka kuhamia,uliza ka bado kuna chance kwenye hyo course unayoitaka then ukikubaliwa utaenda tcu utapewa barua ya uhamisho..ila kama unataka kuhama courz bt ktk the same chuo,ni uongozi wa chuo chako husika ndo una jukumu hlo.me ndo namalizia mchakato huku wa kumtoa dogo mzumbe na kumpeleka sua so atakae weza pga hzo mishe apge faster kabla vyuo havijafunguliwa.over