Gunia moja 120k hilo gunia lina ukubwa gani..?HIYO ya mkaa naona Kuna mtu analetaga fuso Zima kutoka shinyanga, Anauza gunia moja laki na 20,100k,90kKwa Sasa.Anauza jumla na rejareja.kwa siku gunia 5 anamaliza.
Ina faida ila TU uwe na kibali.
🤣🤣🤣🤣Gunia moja 120k hilo gunia lina ukubwa gani..?
Ndio ushangae mkuu gunia moja la mkaa liuzwe 120k 🤣🤣🤣 labda makaa ya mawe hayo🤣🤣🤣🤣
Inawezekana, tembea uone mambo yanavoendaNdio ushangae mkuu gunia moja la mkaa liuzwe 120k 🤣🤣🤣 labda makaa ya mawe hayo
Hahah kweliInawezekana, tembea uone mambo yanavoenda