Alikua kaiba au ilikua feki?Jamaa asubuhi kakatiza na Samsung inch 32 anataka laki..Nikamjibu potea kabla sijakuchukulia hatua stahiki
Atakuwa ni mwizi yule
Mkuu nauza LED flat screen Lg inchi 32Nahitaji flat srceen used au mpya kwa mwenye nayo plz tufanye biashara awe maeneo ya Dar utaje na bei. Kampuni ile Lg samsung au tcl au nyinginezo ila isiwe star x
Sent using Jamii Forums mobile app