Kwa anae wajua kwa undani wanadada hawa

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Naomba anaewajua kwa majina yao halisi,wanapoishi au viwanja vyao waigizaji hawa wawili wa tamthilia inayoonyeshwa na EATV ya siri za familia "Brenda na Kelly" muhimu kuliko yote nataka contacts zao email or mobile phone....hasa hasa mwanadada "kelly".
kama wapo humu sio mbaya kuja PM.

Thanks in advance...
 
Namba ya mkewangu ya nini we jamaa?
 
Nenda Jukwaa la Entertainment... jaribu ku-search uzi kuhusu hiyo tamthilia! Nadhani mleta uzi anahusika moja kwa moja na hiyo tamthilia.

Binafsi, sijawahi kuiangalia kwahiyo hata casts ni wakina nani, sifahamu!
 
Unapotafuta mawasiliano ya wake za watu ni bora ukajipambanua kabisa una lengo gani hasa!!..usichukulie poa tu
 
Number zao ni 0654326892 wanatumia tigo nawew kama unapenda kutumia mtandao wa tigo wacheck hapo
 
hahahahhahahahahahahahahahahah

WANAWAKE HAWAZOELEKI NA KILASIKU UNAKUTANA NA VIPYA YAANI KUWA MWANAUME NI MTIHANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…