Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
...inayojishughulisha na masuala ya Kilimo na/au Elimu tuwasiliane tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...inayojishughulisha na masuala ya Kilimo na/au Elimu tuwasiliane tafadhali.
Mkuu nafahamu mbili za kilimo lakini.
1. Faida market link- inafanya marketing linkage kwa wakulima wadogo wadogo
2. Recoda- ina wafundisha wakulima kilim o cha kisasa na ufugaji wa kisasa
kuna TRIAS- Tanzania wao wana manage fund kwa hizo NGO zinazo husika na kilimo
Savanna Forever wanajihusisha na research
nikikumbuka nyingine nitakwambia