Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutafutia.Ndugu msaada wenu tafadhari natamani sana kununua ubuyu kwa babu issa zanzibar lakini mawasiliano nao nilipoteza baada ya kukabwa na kuibiwa simu,mwenye kuwafahamu watoto wa babu iisa au mawasiliano yao anisaidie tafadhari.
Asanteni sana
Deeteyamo
Habari gani ndugu,naomba msaada wa namba ya babu issaNiachie namba yako inbox. Ntakutumia namba yake
Mkuu nitumie nami namba za Babu ISSANiachie namba yako inbox. Ntakutumia namba yake