mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
unapatikana wapi? Weka mawasiliano ili iwe rahisi kwa yoyote anayehitaji kukupata kirahisi, pia uko mkoa gani? Binafsi nahitaji.
Sent from my blackberry
kaka bei yako kubwa kwani mpaka Leo hii dar yapo 530-550 akiweka garama haifai .kama bei hiyo unaniletea mpaka dar pm nahitaji ndiyo biashara Yangu.
vp mahindi yapo au yameisha
Ila kilo bei yake umeweka ghar sana
Ndugu zangu kwa anaehitaji mahindi mimi nauza nina tani 30 nipo songea mjini. Nauza 500 kwa kilo moja. Tusaidiane kutafutiana soko.
Mkuu, nahitaji kufanya biashara ya mazao, licha ya transport cost, mfano wa hizo charge nyingine ni zipi?Sielewi maeneo mngine bei zikoje ila kwa dar hilo haliwezekani kwani bei kwa sasa ni 530-550,ukiongeza hapo transport cost pamoja na charges nyingine hio ki2 huwezi pata mteja kwa hio bei,hivyo vuta subira uuze baadae or uuze chine ya bei ulioipanga.
Dar maeneo gani wanauza bei hiyo?kaka bei yako kubwa kwani mpaka Leo hii dar yapo 530-550 akiweka garama haifai .kama bei hiyo unaniletea mpaka dar pm nahitaji ndiyo biashara Yangu.