Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 11, 2011 #1 Nijuavyo wizara ya fedha hugharamikia masomo ya wanafunz ktk vyuo vya TIA,IFM na IAA,kwa anaejua jnsi ya kuupata huo ufadhili awasaidie vijana,me cjui process za kufuata ila 2 kuna rafik yangu mmoja alibahatkaga kupata hlo zali mwaka flan hivi.
Nijuavyo wizara ya fedha hugharamikia masomo ya wanafunz ktk vyuo vya TIA,IFM na IAA,kwa anaejua jnsi ya kuupata huo ufadhili awasaidie vijana,me cjui process za kufuata ila 2 kuna rafik yangu mmoja alibahatkaga kupata hlo zali mwaka flan hivi.