Kwa anaejua biashara ya ndege

G.25

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
1,737
Reaction score
1,891
Ni mara nyingi tu nimeshawai kuona watu wakifuga ndege wa aina tofauti tofauti wa porini. Huwa nasikia wana faida nzuri" nigependa kujua hii biashara ikoje? kwa anaejua.
 
...

.....inahitaji moyo sana hasa kumnasa Tai ....kama kuna DG (District Game Officer ) eneo lako atakupa maelezo zaidi
 
Nilifkiri unaulizia biashara ya ndege, yaani! Airplane, nikajiuliza jamaa anataka kuanzisha air train au air G.25
 
Nilifkiri unaulizia biashara ya ndege, yaani! Airplane, nikajiuliza jamaa anataka kuanzisha air train au air G.25

mh..huyu nae....soma maelezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…