teetotaller JF-Expert Member Joined Dec 16, 2014 Posts 307 Reaction score 204 Mar 8, 2016 #1 Naomba kuuliza kwa anayejua hili:- Je Jogoo Aliewika Baada Ya Petro Kumkana Yesu Mara Tatu Alikuwa Wa Nani? Karibuni kwa majibu wapendwa
Naomba kuuliza kwa anayejua hili:- Je Jogoo Aliewika Baada Ya Petro Kumkana Yesu Mara Tatu Alikuwa Wa Nani? Karibuni kwa majibu wapendwa
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,659 Mar 8, 2016 #2 Wa kuhani mkuu anaeitwa kayafa!
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,113 Reaction score 65,124 Mar 8, 2016 #3 aggyjay said: Wa kuhani mkuu anaeitwa kayafa! Click to expand... Excellent,..Excellent!! Nitafute nikununulie LUNCH. Haya swali jingine. Hivi kwenye siku ya Pentekoste baada ya kushuka roho mtakatifu Mitume walisekana kunena kwa lugha? Je, hii ni lugha ipi? Usisahau kunitafuta Bible Girl. πππππππππππ
aggyjay said: Wa kuhani mkuu anaeitwa kayafa! Click to expand... Excellent,..Excellent!! Nitafute nikununulie LUNCH. Haya swali jingine. Hivi kwenye siku ya Pentekoste baada ya kushuka roho mtakatifu Mitume walisekana kunena kwa lugha? Je, hii ni lugha ipi? Usisahau kunitafuta Bible Girl. πππππππππππ