Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
habari wana jf kuna mercedez banz hapa ni 221 gari ikiwa inatembea ina toa kamlio na ukivuta mafuta ndio kinazidi kutoa sauti kwenye steering power je tatizo nini naombeni msaada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatoa mlio kwenye steering power? Hapana angalia belt zako zinaweza kuwa zimekauka. Ukitaka anza na belt ya kwenye pulling au ya condenser ya achabari wana jf kuna mercedez banz hapa ni 221 gari ikiwa inatembea ina toa kamlio na ukivuta mafuta ndio kinazidi kutoa sauti kwenye steering power je tatizo nini naombeni msaada.
asante mkuu nitakuletea majibu ngoja nikafanye hivyo.Inatoa mlio kwenye steering power? Hapana angalia belt zako zinaweza kuwa zimekauka. Ukitaka anza na belt ya kwenye pulling au ya condenser ya ac
Pamoja kakaasante mkuu nitakuletea majibu ngoja nikafanye hivyo.