Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hivi kwanini Tanzania hakuna kampuni zinazodeal na mambo ya relationship. Kwa mfano mimi niko single na sijioni kumpata mtu sasa naenda kwao waniunganishe na wanaume waliopo single kwenye data base ya kampuni. Au blind dates mbona hatufanyi sisi.
Siongelei kuunganisha watu na madanga hiyo ni kawaida naongelea ile relationship serious kabisa ambayo inaweza kuzaa ndoa.
Siongelei kuunganisha watu na madanga hiyo ni kawaida naongelea ile relationship serious kabisa ambayo inaweza kuzaa ndoa.