Kwa anaejua

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Hivi kwanini Tanzania hakuna kampuni zinazodeal na mambo ya relationship. Kwa mfano mimi niko single na sijioni kumpata mtu sasa naenda kwao waniunganishe na wanaume waliopo single kwenye data base ya kampuni. Au blind dates mbona hatufanyi sisi.
Siongelei kuunganisha watu na madanga hiyo ni kawaida naongelea ile relationship serious kabisa ambayo inaweza kuzaa ndoa.
 

Anzisha hata ww sio kila kitu ukikute tu
 
JF ndiyo kampuni pekee inayofanya hivyo. Kujiunga, ingia Love connect!
Asante mkuu.. sasa tofauti ni kwamba huko love connect waty mnakua hamjuani, unajua wakati mwingine hata sura ya mtu inaeza ikakushawishi umpende, hiyo ninayoongelea unakuta wapenz wanapata watu wanaoendana nao sababu ya sifa wanazoziweka. Huko love connect mi nataka mtu mfupi kama Joti ila atantafuta mtu mrefu kama Hashim Thabeet halafu ataanza leta story za tuonane utanipenda tu.
 
Kwahiyo ulitaka hiyo huduma bure?!
Nimeulizia sijasema wanihudumie, kwani nikiulizia boxer zinapouzwa naenda kuvaa mie? au we ukiuliza pamba nzuri za kike umchukulie mkeo unaenda vaa wewe?
 
Kumpata mtu mkapendana ni bahati. Na wewe kajaribu bahati yako huko Lv connect. Ukishindwa njoo kwangu nikutongoze ili niwe nakubebisha full time!
 
Jilipue mkuu.. kuna wanawake hawana muda wa kutongozwa sababu maisha yao ni kazi na kanisa sasa utawasaidia
Nilitaka nijilipue kwako lakin namuogopa jje's mtag umuulize kama akikubali bas fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…