Kwa anaejuwa msaada tafadhari

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habali zenu wana JF,hivi kwa mfano mtu unaandaa au kutengeneza business proposal yako kwa minajili ya kuuza hyo proposal yako kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya hiyo biashara au project jee waweza muuzia kwa shillingi ngapi?
Ntashukuru kama nikipata msaada wenu wakuu
 
Yaani kama mradi ni wa milioni 10 basi anachukua 1% ambayo ni laki 1.
Kama ni milioni 100 anakula milioni moja.
Bei ya bure hiyo amekupa jamaa.

Hii inategema na mtu anaekuandalia,sio wote wenye bei inayofanana kila mtu na percent yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…