Kuna ndugu yangu ameomba iyo course mwaka wa masomo 2013\2014.. ! nilmshauri aombe na IFM pia, sema anadai ada IFM ni kubwa mno.. me nimeona ni vzur asome uko uko tu.. maana mwisho wasiku ubora wa elimu unatokana na m2 mwenyewe pia.. kama kuna anaejua madudu kwenye iyo level pz anijuze nimwambie afanye mipango kwingine.... ahsanteni sana.